Celebrating 9 million enrolments

Results for:Swahili

Adjust

Self-paced courses

Kozi hii inatanguliza Ugonjwa wa Virusi vya Marburg na kuainisha ishara, dalili, utambuzi, njia za maambukizi na epidemiolojia ya ugonjwa huo. Inajadili pia mikakati ya kuzuia na kudhibiti.

Shukra...

  • Self-paced
  • Marburg
  • Confirmation of Participation
  • sw
OpenWHO

Wafanyakazi wote wa huduma za afya wanahitaji taaluma na ujuzi wa kujilinda pamoja na kuwalinda wengine dhidi ya vihatarishi vya mahala pa kazi wanavyokumbana navyo, ili waweze kufanya kazi kwa usa...

  • Self-paced
  • COVID-19
  • Record of Achievement
  • sw
OpenWHO

Virusi vya korona ni jamii kubwa ya virusi vinavyojulikana kusababisha magonjwa yanayoanzia homa ya kawaida hadi homa kali kama vile Homa Kali ya Upumuaji ya Mashariki ya Kati (MERS) na Homa Kali y...

  • Self-paced
  • COVID-19
  • Record of Achievement
  • sw

Kikao hiki cha utangulizi kinaelezea kanuni za msingi za ugonjwa wa virusi vya Ebola na njia za kujikinga na kuwakinga wengine. Mwisho wa somo hili, unapaswa kuwa na uwezo wa: kuelezea ugonjwa wa v...

  • Self-paced
  • Ebola
  • sw

Mafunzo haya ya kina ya kiwango wastani ni ya wauguzi wanaowatunza wagonjwa wanaoshukiwa au waliothibitishwa kuwa na ugonjwa wa virusi vya Ebola (EVD). Moduli hii inatoa taarifa ya uchunguzi na uka...

  • Self-paced
  • Ebola
  • sw

Karibu kwenye kozi ya mtandaoni ya kiwango cha utangulizi kuhusu homa ya mgunda (leptospirosis), ugonjwa wa bakteria unoambukizwa kwa njia ya kugusana na wanyama jamii ya panya, wanyama wa nyumbani...

  • Self-paced
  • Leptospirosis
  • Confirmation of Participation
  • sw