Ebola: Udhibiti wa kliniki ya ugonjwa wa virusi vya Ebola

Mafunzo haya ya kina ya kiwango wastani ni ya wauguzi wanaowatunza wagonjwa wanaoshukiwa au waliothibitishwa kuwa na ugonjwa wa virusi vya Ebola (EVD). Moduli hii inatoa taarifa ya uchunguzi na ukaguzi, na kuzuia maambukizi and kuthibiti, uchunguzi wa maabara, taratibu za Kituo cha Matibabu ya Ebola (ETC), uuguzi wa wagonjwa kwenye ETC, uchunguzi wa kimatibabu.

**Tafadhali kumbuka: Makala haya yameandaliwa kwa ajili ya mlipuko wa Ebola uliotokea mwaka 2018 kwenye Mkoa wa Equateur ulipo kwenye Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na yanakaguliwa. Kwa sasisho ya hivi karibuni kuhusu ugonjwa wa virusi vya Ebola, tembelea tovuti ya WHO: https://www.who.int/health-topics/ebola

En modo autodidacta
Idioma: Kiswahili
Ebola, Intermediate (Intermediaire)

Información del curso

Mafunzo haya pia yanapatikana katika lugha zifuatazo:

English - français

Maelezo ya jumla: Mafunzo haya ya kina ya kiwango wastani ni ya wauguzi wanaowatunza wagonjwa wanaoshukiwa au waliothibitishwa kuwa na ugonjwa wa virusi vya Ebola (EVD). Moduli hii inatoa taarifa ya uchunguzi na ukaguzi, na kuzuia maambukizi and kuthibiti, uchunguzi wa maabara, taratibu za Kituo cha Matibabu ya Ebola (ETC), uuguzi wa wagonjwa kwenye ETC, uchunguzi wa kimatibabu.

Malengo ya mafunzo: Mwishoni mwa mafunzo haya, washiriki wanapaswa:

  • kuelezea uchunguzi wa wagonjwa kutambua wale wanaoshukiwa na kuwapeleka kwa matibabu kwa ETC;
  • ukuelewa mikakati ya kuzuia na kudhibiti maambukizi: kiwango na tahadhari ya mtagusano na kutumia vifaa vya kujikinga katika muktadha kadhaa;
  • kuelewa jinsi ya kutupa taka jinsi ya kufanya mazishi ya heshima na salama;
  • ukuelewa wa jinsi ya kukusanya sampuli za wagonjwa wa Ebola na sampuli nyingine za maabara;
  • kuelewa vipimo vingine vya Ebola vilivyopo na umuhimu wa vipimo vingine kwa kila mara kushughulikia wagonjwa;
  • kuelewa muundo, utendakazi, na taratibu za ETC;
  • kuelewa vipengele vikuu vya usimamizi wa kliniki wa wagonjwa wenye EVD; na
  • kufafanua mfumo wa WHO wa kutumia mawakala wa uchunguzi katika milipuko.

Muda wa mafunzo: Takriban saa 6.

Vyeti: Hakuna cheti kinachopatikana kwa sasa.

Imetafsiriwa kwa Kiswahili kutoka Ebola: Clinical management of Ebola virus disease, 2018. WHO haiwajibikii usahihi wa yaliyomo na uhakika wa tafisiri hii. Ikiwa kuna hitilafu kati ya tafsiri ya Kiswahili na Kiingereza, nakala ya Kiingereza kitatumika na kuwa halali.

Tafsiri haijathibitishgwa na WHO. Rasiliamali hii inakusudiwa malengo ya msaada wa elimu pekee.

Contenido del curso

  • Ebola: Udhibiti wa kliniki ya ugonjwa wa virusi vya Ebola:

    Mafunzo haya yanawapa wauguzi uafikiaji wa mawasilisho na mabango yanayoweza kupakuliwa ili kuimarisha usimamizi wao wa ugonjwa wa virusi vya Ebola (EVD). Katika sehemu hii, tafadhali pata tafsiri ya Kiswahili cha Kongo za moduli zote na uwasilishaji wao.

Matricularme en este curso

El curso es gratuito. Solo tiene que crear una cuenta en OpenWHO ¡y ya puede hacer el curso!
Matricularme ahora
Learners enrolled: 517