课程进行中
Mafunzo haya ya kina ya kiwango wastani ni ya wauguzi wanaowatunza wagonjwa wanaoshukiwa au waliothibitishwa kuwa na ugonjwa wa virusi vya Ebola (EVD). Moduli hii inatoa taarifa ya uchunguzi na ukaguzi, na kuzuia maambukizi and kuthibiti, uchunguzi wa maabara, taratibu za Kituo cha Matibabu ya Ebola (ETC), uuguzi wa wagonjwa kwenye ETC, uchunguzi wa kimatibabu.
**Tafadhali kumbuka: Makala haya yameandaliwa kwa ajili ya mlipuko wa Ebola uliotokea mwaka 2018 kwenye Mkoa wa Equateur ulipo kwenye Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na yanakaguliwa. Kwa sasisho ya hivi karibuni kuhusu ugonjwa wa virusi vya Ebola, tembelea tovuti ya WHO: https://www.who.int/health-topics/ebola
Mafunzo haya pia yanapatikana katika lugha zifuatazo:
Maelezo ya jumla: Mafunzo haya ya kina ya kiwango wastani ni ya wauguzi wanaowatunza wagonjwa wanaoshukiwa au waliothibitishwa kuwa na ugonjwa wa virusi vya Ebola (EVD). Moduli hii inatoa taarifa ya uchunguzi na ukaguzi, na kuzuia maambukizi and kuthibiti, uchunguzi wa maabara, taratibu za Kituo cha Matibabu ya Ebola (ETC), uuguzi wa wagonjwa kwenye ETC, uchunguzi wa kimatibabu.
Malengo ya mafunzo: Mwishoni mwa mafunzo haya, washiriki wanapaswa:
Muda wa mafunzo: Takriban saa 6.
Vyeti: Hakuna cheti kinachopatikana kwa sasa.
Imetafsiriwa kwa Kiswahili kutoka Ebola: Clinical management of Ebola virus disease, 2018. WHO haiwajibikii usahihi wa yaliyomo na uhakika wa tafisiri hii. Ikiwa kuna hitilafu kati ya tafsiri ya Kiswahili na Kiingereza, nakala ya Kiingereza kitatumika na kuwa halali.
Tafsiri haijathibitishgwa na WHO. Rasiliamali hii inakusudiwa malengo ya msaada wa elimu pekee.