课程进行中

Ebola: Utangulizi

Ebola: Utangulizi

Kikao hiki cha utangulizi kinaelezea kanuni za msingi za ugonjwa wa virusi vya Ebola na njia za kujikinga na kuwakinga wengine. Mwisho wa somo hili, unapaswa kuwa na uwezo wa: kuelezea ugonjwa wa virusi vya Ebola (EVD) na jinsi unavyoenezwa, kumbuka hatua za msingi za kukinga EVD na kuorodhesha masuala muhimu ya afya ya umma wakati wa mlipuko wa Ebola.

自学
语言: Kiswahili
Basic (Basique), Ebola

课程信息

Kozi hii pia inapatikana katika lugha zifuatazo:

English - français - Lingála

Maelezo ya jumla: Watoa maamuzi na washiriki wa msitari wa mbele watapata somo la utangulizi pamoja na rasilimali kuhusu ugonjwa wa virusi vya Ebola hapa. Rasilimali hizi zinaweza kutumika kama kozi za marudio kwa wafanyakazi wenye uzoefu au kama utangulizi wa mada kwa mtu mwingine yeyote. Vifaa vinaweza kupakuliwa kwa matumizi ya nje ya mtandao.

Malengo ya mafunzo: Mwishoni mwa kozi, washiriki wanapaswa kuweza yafuatayo:

  • kueleza kanuni za msingi za ugonjwa wa virusi vya Ebola; na
  • kufafanua jinsi ya kujikinga na kuwakinga wengine dhidi ya kupata ugonjwa wakati wa kupambana na mlipuko.

Muda wa Kozi: Takriban dakika 30.

Vyeti: Hakuna cheti kinachotolewa kwa kozi hii. Cheti kitatolewa kwa wale ambao wamekamilisha mafunzo ya e-PROTECT.

Imetafsiriwa kwa Kiswahili kutoka Kiingereza Ebola: Introduction, 2020. WHO haiwajibiki kwa lolote kwa yaliyomo au usahihi wa tafsiri hii. Katika tukio la kutokubaliana kokote kati ya Kiingereza na tafsiri ya Kiswahili, toleo la asili la Kiingereza litakuwa toleo la kutegemewa na halali.

Tafsiri hii haijathibitishwa na WHO. Rasilimali hii imekusudiwa kwa madhumuni ya msaada wa kujifunza tu.

课程内容

  • Utangulizi kuhusu Ebola:

    Moduli hii inatoa muhtasari wa kiwango cha utangulizi wa ugonjwa huu.

订阅本课程

该课程是免费的。 只需在OpenWHO上注册一个帐户并参加课程!
现在注册吧